Isaiah 10:2


2 akuwanyima maskini haki zao
na kuzuilia haki za watu wangu walioonewa,
kuwafanya wajane mawindo yao
na kuwanyang’anya yatima.
Copyright information for SwhKC